Supu ya Kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 5,283
- 9,609
Hahahaaaaa mkuu serekalini patamu wenzako tunasubiria hizo fedha tukalipiwe mbinguni maana tushaamishwa vituo zaidi ya mara mbili hakuna Ela ya kuama Wala kujikimuJamani wahusika mtuonekanie. Halmashauri ya Ileje imegoma kabisa kutulipa posho zetu za kujikimu...
Afya mkuu. Tusaidieni tuna hali mbaya huku vijijini. Waraka ulishatoka , taratibu zimefanyika lakini yapata miezi Sasa kimya. Tusaidieni tinakufa.kada gani ndugu
Mkuu hata nauli ya kufika kwa mkurugenzi ni changamoto. 60k go and return kwa pikipiki. Tusaidieni unapoweza.Mshahara hampewi?
Ofisi ya Mkurugenzi unaifaham pengine na anuani ya Mkurugenzi unayo Ila unakuja huku
Utafanyaje kazi na njaa Sasa. Nataka Hela bwana.Unataka kazi au hela ?
Chagua moja
Magu alisema usipolipwa hela usiende kuripotiHahahaaaaa mkuu serekalini patamu wenzako tunasubiria hizo fedha tukalipiwe mbinguni maana tushaamishwa vituo zaidi ya mara mbili hakuna Ela ya kuama Wala kujikimu
Mkuu jf ni msaada mkubwa sana,humu Kuna viongozi wanaoweza kutoa msaada.Mshahara hampewi?
Ofisi ya Mkurugenzi unaifaham pengine na anuani ya Mkurugenzi unayo Ila unakuja huku
Ileje iko songwe.Kelele zote hutaji jina la mkoa
Halmashauri imetutelekeza wao wako itumba Ila hawajui tunayoyapitia humu vijijini....Magu alisema usipolipwa hela usiende kuripoti