A
Anonymous
Guest
Halmashauri ya Jiji la Dodoma yaani Wilaya ya Dodoma Jiji, Idara ya Elimu Sekondari nauli za likizo kwa watumishi ni shida kupata watu tuna zaidi ya miaka mitatu lakini hakuna malipo, mfano watu wa mwisho kulipwa fedha za nauli za Likizo ya Juni 2024.
Kisheria mtumishi Kila baada ya miaka miwili anapata likizo ambayo anapaswa kulipwa nauli yake na wategemezi wake kutoka alipo hadi nyumbani kwake alikozaliwa, kwahiyo hii imekuwa shida na tatizo sana kwa hii Halmashauri.
Watumishi tunadai nauli hizo miaka na miaka halafu majibu hayaeleweki kila siku bajeti haitoshi.