Halmashauri ya jiji la Arusha yaandaa maandamano makubwa ya michezo April 26, 2018

Promo ya bure kwa yale mengine yaleeeeee. Amina Mungu amejibu maombi kwamba maand&&&@@.oooo ruksa Hivi wanaelewa matokeo ya hii kitu? Hahahhh wajinga ndio waliwao
 
View attachment 735150

Halmashauri ya jiji la Arusha imeaanda maandamano makubwa ya michezo ambayo yatafanyika siku ya sherehe ya maadhimisho muungano April 26, 2018 jijini Arusha

Afisa michezo wa jiji la Arusha, Benson Maneno amethibitisha hilo na kusema kuwa maandamano hayo yatafanyika asubuhi kuelekea katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume ambapo ndipo zitafanyika fainali za michuano ya Muungano Cup na kumpata mshindi wa michuano hiyo, ambapo mshindi wa kwanza atapata milioni mbili, mshindi wa pili milioni moja na mshindi wa tatu laki tano.

"Mashindano hayo ambayo yameanzishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa jiji la Arusha akishilikiana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Dakalo wameanzisha mashindano haya maalum kwa kata zote 25 ambapo watashirikisha vijana wenye umri chini ya miaka 26, hivyo kila kata itacheza na kata nyingine ili kupata mshindi wa michuano hiyo.

Fainali hizo zitafanyika jioni lakini asubuhi ya tarehe 26 kutakuwa na maandamano makubwa ya wana michezo kuelekea uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume kwa ajili ya kufanya fainali hiyo ya Muungano CUP" alisema Benson Maneno

Lakini kwa upande mwingine, siku hiyo hiyo ya Muungano 26 April, 2018 watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii wakiongozwa na mwanaharakati wa mitandao Mange Kimambi pia wamepanga kufanya maandamano ya nchi nzima kupinga baadhi ya vitu ambavyo vinaendelea nchini kwa sasa.

Chanzo: EATV
safi yangefanyika nchi nzima
 
Promo ya bure kwa yale mengine yaleeeeee. Amina Mungu amejibu maombi kwamba maand&&&@@.oooo ruksa Hivi wanaelewa matokeo ya hii kitu? Hahahhh wajinga ndio waliwao
Narudia:
Tz revo...tion is facilitated beyond human understanding and beyond human control.
 
Kabla hamjafikiria kuweka maandamano yenu batili tofauti na kusudio lililopo, mngemtafuta mwenyekiti wenu awape tip kwanza..
4aaefac6-6c22-4d7a-a1f0-85f94216e59f-jpg.733786
 
Tulisubiria kwa hamu upenyo kama huu.. Naomba na Bashite afanye kama hivi kule Dar
 
DC wa Arusha kwa kushirikiana na DED (wote CCM) wamewaandaa Vijana wa kuandamana April 26, 2018; siku ya maandamano mengine yanayoratibiwa na Mange kutetea nchi irudi kwenye misingi iliyoachwa na waasisi.

dc.jpg
 
wana Arusha kitu kisha pakwa KY kazi kwenu sasa
 
View attachment 735150

Halmashauri ya jiji la Arusha imeaanda maandamano makubwa ya michezo ambayo yatafanyika siku ya sherehe ya maadhimisho muungano April 26, 2018 jijini Arusha

Afisa michezo wa jiji la Arusha, Benson Maneno amethibitisha hilo na kusema kuwa maandamano hayo yatafanyika asubuhi kuelekea katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume ambapo ndipo zitafanyika fainali za michuano ya Muungano Cup na kumpata mshindi wa michuano hiyo, ambapo mshindi wa kwanza atapata milioni mbili, mshindi wa pili milioni moja na mshindi wa tatu laki tano.

"Mashindano hayo ambayo yameanzishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa jiji la Arusha akishilikiana na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Dakalo wameanzisha mashindano haya maalum kwa kata zote 25 ambapo watashirikisha vijana wenye umri chini ya miaka 26, hivyo kila kata itacheza na kata nyingine ili kupata mshindi wa michuano hiyo.

Fainali hizo zitafanyika jioni lakini asubuhi ya tarehe 26 kutakuwa na maandamano makubwa ya wana michezo kuelekea uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume kwa ajili ya kufanya fainali hiyo ya Muungano CUP" alisema Benson Maneno

Lakini kwa upande mwingine, siku hiyo hiyo ya Muungano 26 April, 2018 watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii wakiongozwa na mwanaharakati wa mitandao Mange Kimambi pia wamepanga kufanya maandamano ya nchi nzima kupinga baadhi ya vitu ambavyo vinaendelea nchini kwa sasa.

Chanzo: EATV
kama ni kweli kabla jogoo hajawika simu kutoka juu litakuwa limeshatua Arusha kwa Gambo
 
Kuna post mange aliirusha march 13 ya rais wa romania wananchi walimchenchia kipindi anahutubia taifa uwanjan, hii inaweza kuwa kama hivyo.
 
Back
Top Bottom