KERO Halmashauri ya Jiji la Dar tatizo nini? Wiki ya pili sijapata control namba kulipia leseni halafu mnapita mtaani kukagua leseni

KERO Halmashauri ya Jiji la Dar tatizo nini? Wiki ya pili sijapata control namba kulipia leseni halafu mnapita mtaani kukagua leseni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Ustadh tongwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
789
Reaction score
2,061
Tunaomba viongozi mnaohusika akiwepo mkuu wa biashara mtusaidie please. Serikali inategemea tulipe hizo leseni za biashara ili maendeleo yapatikane. Sasa mtu anakaa na maombi wiki mbili hayajapitiwa hata na afisa mmoja na ukienda ofisini unawakuta wapo. Wakati huohuo maafisa wenu wanapita mitaani kukagua leseni.
 
Back
Top Bottom