A
Anonymous
Guest
Wiki iliyopita tuliwasilisha ujumbe wetu hapa JamiiForums tukiitaka TAMISEMI na Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, kutufanyia mpango wa fedha zetu za kujikimu, barua ya TAMISEMI ya tarehe 04/06/2026 ilizitaka Halmashauri kuhakikisha watumishi wapya wa afya wanalipwa na kuwasilisha taarifa za utekelezaji ifikapo tarehe 15/06/2026.
Napenda kutoa mrejesho kuwa tumelipwa, uungwana ni busara, kama tulilalamika hapa na ni bora tuweke wazi hapa pia.
Asanteni sana JF kupaza sauti yetu.
Pia soma ~ TAMISEMI na Uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, tupeni ufafanuzi kuhusu fedha zetu za kujikimu