A
Anonymous
Guest
Halmashauri ya Kibaha DC zitusaidie kuhusu posho za kujikimu kwani waraka unaotumika kulipa posho hizi unatumika kwenye halmashauri zote Tanzania kwa nini kwetu tupewe pesa kidogo kuliko watumishi wa halmashauri jirani angali tunalingana kila kitu mfano kiwango cha elimu (diploma), daraja la mshahara.
Mtu unakuta yupo Daraja la TGHS B tumelipa 610,000. Kiasi stahiki tulichotakiwa kulipwa ni kwa mujibu wa daraja la mshahara ni TGHS B ambayo posho kwa siku ni 130,000 kwa siku 7.
Mtu unakuta yupo Daraja la TGHS B tumelipa 610,000. Kiasi stahiki tulichotakiwa kulipwa ni kwa mujibu wa daraja la mshahara ni TGHS B ambayo posho kwa siku ni 130,000 kwa siku 7.