utulivugroups
New Member
- Jul 8, 2026
- 3
- 0
Halmashauri ya Lushoto (TANGA) Ajira Mpya 2026, Kada ya ELIMU hatujapewa pesa ya kujikimu. Tukidai Kwa wakuu wa Idara wanatujibu hovyo
Soma Pia: Ajira Mpya 2026 Ruvuma - Namtumbo Kada ya Afya hatujapewa fedha ya kujikimu
Wenzetu Kada ya Afya 2026 tulioripoti pamoja wao wamepesa stahiki zao.
TAMISEMI tusaidieni tupate Stahiki zetu
Soma Pia: Ajira Mpya 2026 Ruvuma - Namtumbo Kada ya Afya hatujapewa fedha ya kujikimu
Wenzetu Kada ya Afya 2026 tulioripoti pamoja wao wamepesa stahiki zao.
TAMISEMI tusaidieni tupate Stahiki zetu