U utulivugroups New Member Joined Jul 8, 2026 Posts 3 Reaction score 0 Jul 10, 2026 #1 Halmashauri ya Lushoto (TANGA) Ajira Mpya 2026, Kada ya ELIMU hatujapewa pesa ya kujikimu. Tukidai Kwa wakuu wa Idara wanatujibu hovyo Soma Pia: Ajira Mpya 2026 Ruvuma - Namtumbo Kada ya Afya hatujapewa fedha ya kujikimu Wenzetu Kada ya Afya 2026 tulioripoti pamoja wao wamepesa stahiki zao. TAMISEMI tusaidieni tupate Stahiki zetu
Halmashauri ya Lushoto (TANGA) Ajira Mpya 2026, Kada ya ELIMU hatujapewa pesa ya kujikimu. Tukidai Kwa wakuu wa Idara wanatujibu hovyo Soma Pia: Ajira Mpya 2026 Ruvuma - Namtumbo Kada ya Afya hatujapewa fedha ya kujikimu Wenzetu Kada ya Afya 2026 tulioripoti pamoja wao wamepesa stahiki zao. TAMISEMI tusaidieni tupate Stahiki zetu
U utulivugroups New Member Joined Jul 8, 2026 Posts 3 Reaction score 0 Aug 11, 2026 Thread starter #2 Muungwana husema Asante Anapofanikiwa , Shukran saana wanazengo Kada ya Elimu Ajira Mpya Jan 2026 Halimashauri ya Lushoto tupewa Posho ya Kujikimu.
Muungwana husema Asante Anapofanikiwa , Shukran saana wanazengo Kada ya Elimu Ajira Mpya Jan 2026 Halimashauri ya Lushoto tupewa Posho ya Kujikimu.