KERO Halmashauri ya Lushoto - Tanga : Posho za Kujikimu zimechelewa kwa Watumishi

KERO Halmashauri ya Lushoto - Tanga : Posho za Kujikimu zimechelewa kwa Watumishi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

utulivugroups

New Member
Joined
Jul 8, 2026
Posts
3
Reaction score
0
Halmashauri ya Lushoto inachelewa kuwapa Watumishi Posho zao za kujikimu walioajiriwa Mwaka 2026, hivyo kufanya vijana kuishi kwa ugumu huku Ugenini.

Wakati Halmashauri nyingine ndani ya Mkoa na Mikoa jrani zimeshalipa Posho ya kujikimu.

========================

Tunaomba utupazie sauti sisi watumishi ajirampya kada ya elimu Halmashauri ya Lushoto toka tuajiriwe mwezi January mwaka huu 2026 hatujalipwa pesa yetu ya kujikimu, hali inayofanya tushindwe kumudu maisha hasa wakati huu wa mwanzo wa makazi mapya.
 
Back
Top Bottom