Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini yangu ndogo hali inazidi kuwa mbaya kwa hivi sasa kuliko miaka hiyo, mbali na one stop border post wameibuka watu na kuongeza kadhia nyingi zaidi.
Mizani imepunguzwa na kuwa ya kisasa na kutumia censors lakini Jeshi la polisi linazidi kufungua madambwe ya kusimamisha gari na kukusanya rushwa, kubwa kuliko ni halmashauri toka zielekezwe kupitia makusanyo yao TRA mama yangu tozo, ushuru kila kukicha zinazidi. Wanazo sababu Lukuki, baya zaidi wanaongeza gharama za kufanya biashara nchini na kuweka usumbufu usio wa lazima.
Naweka Tangazo hili ambalo linasambazwa jioni hii ili wenye Macho waone na kuwapelekea wahusika, Ubungo kuna tracks zinashusha copper ndio kuna mjinga mmoja kaka chini na kubuni chanzo hiki cha mapato, sasa ni Ubungo kila wilaya wakiweka hizi itakuwa kiasi gani. Very unfortunely wako wenyewe tu na watajipigia makofi. walifanya hivi kwa vituo vya mabasi sasa kila kijiji kinajenga kituo na basi lazima lipite kulipa.
Weledi mtujuze kama hili tangazo ni la kweli??? au ndio maboko wanaotengezeana CCM kupinduana.??