Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni haijalipa nauli za likizo Desemba 2020

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao.

Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila baada ya miaka miwili na aibu kwa manispaa kubwa kama hii kushindwa kulipa nauli watumishi wake.

Waziri Ummy uko Dar es salaam kwa sasa hebu saidia hili suala kuna watu wanaendesha halmashauri kama vile wanaongoza familia zao watumishi wamefuatilia wamechoka hakuna majibu.
 
Back
Top Bottom