A
Anonymous
Guest
Habari, mm nimwajiriwa mpya wa serikali katika Halmashauri ya Mji Tarime ajira za mwezi January 2026, pamoja na katibu mkuu TAMISEMI kutoa waraka wa kuelekeza watumishi wapya wote walipewe pesa za kujikimu kufikia tarehe 15 June 2026 lakini mpaka leo hatujalipwa pesa hizo, wametufanyia danganya toto ya kutujazisha vendor form halafu wakatokomea jumla.
Tunaomba msaada ili Waziri wa OWM-TAMISEMI atusaidie.
Tunaomba msaada ili Waziri wa OWM-TAMISEMI atusaidie.