KERO Halmashauri ya Mji TARIME imekaidi agizo la Katibu Mkuu TAMISEMI kulipa posho za pesa za KUJIKIMU watumishi wapya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari, mm nimwajiriwa mpya wa serikali katika Halmashauri ya Mji Tarime ajira za mwezi January 2026, pamoja na katibu mkuu TAMISEMI kutoa waraka wa kuelekeza watumishi wapya wote walipewe pesa za kujikimu kufikia tarehe 15 June 2026 lakini mpaka leo hatujalipwa pesa hizo, wametufanyia danganya toto ya kutujazisha vendor form halafu wakatokomea jumla.

Tunaomba msaada ili Waziri wa OWM-TAMISEMI atusaidie.
 

Attachments

Kazi Za vijijini wananchi wakikupenda hawataki uhame kwenda popote , wapo tayari wakupe chochote kile unataka ili usiondoke .

Dogo rasi mmoja alipewa Ng’ombe 56 na mashamba 8 ili asiondoke .

Tamisemi raha bwana . 🙌🏼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…