A
hatari hahahhhahahHalmashauri ya wilaya ya Butiama
Kaimu Mkuu wa idara ya ujenzi ananyanyasa wafanyakazi wenzie kwa maneno chonganisi.
Nilikuwa na matatizo ya kifamilia nimeomba ruhusa kwenye mfumo, lakini nakuja kupigiwa simu na kaimu Mkuu wa idara ya ujenzi kuwa ameulizwa na mkurugenzi niko wapi, majibu yake ni kwamba hatambui niko wapi Ananisukuma kwa maneno nikajieleze mwenyewe.
Serikali wekeni utaratibu mzuri kwa wafanyakazi, Kwa maelezo haya naomba nihame Halmashauri kwani siwezi fanya kazi na mbaya wangu ofisi moja.
umepelekwa kwenye wilaya nzuri yenye fursa kibao ila bado unalalamika..Msimu wa mvua ukifika ingia mashambani ulime mahindi,alizeti,karanga, dengu na vitunguu.Sisi ni walimu wa ajira mpya wa mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Tangu tulipoanza kazi tumekuwa tukidai malipo ya fedha zetu za kujikimu, ambazo kwa mujibu wa taratibu za Serikali zinapaswa kulipwa ndani ya siku saba baada ya kuripoti kazini.
Hata hivyo, hadi sasa imepita takribani miezi sita bila kupokea stahiki hizo. Kinachotuumiza zaidi ni kwamba wenzetu wa kada ya afya katika halmashauri hiyo tayari wamelipwa sehemu ya fedha zao, huku sisi walimu tukiachwa katika sintofahamu bila taarifa yoyote kuhusu lini tutalipwa.
Kutokana na hali hii, tumekuwa tukifanya kazi katika mazingira magumu tangu mwanzo wa ajira zetu, huku tukikabiliwa na changamoto za kujikimu na kutekeleza majukumu yetu ipasavyo.
Tunaiomba JamiiForums na wadau wengine kutupazia sauti ili malalamiko yetu yawafikie wahusika, hususan mamlaka zinazohusika na malipo ya watumishi wa umma. Tunaomba stahiki zetu zilipwe kwa wakati ili tuweze kutekeleza majukumu yetu kwa utulivu na ufanisi.
Hili tatizo limekuwa kero sana kwa muda mrefu sasa. Ni heri serikali iweke utaratibu mpya. Nini kinashindikana kupangilia mambo sawa. Unakuta mchakato wa ajira unachukua karibia mwaka tangu nafasi zinatangazwa, huwa wanakwama wapi kuseti mahesabu yao muda wote huo. Sasa nafasi inatangazwa miezi nane yote wanasubili kuitwa interview, nikafikiri huwa wanaweka mambo yao sawa!Walimu ajira Mpya halmashauri ya Wilaya Ya MKALAMA-SINGIDA hatujalipwa Pesa zetu za Kujikimu Tangu Tumeripoti mwezi January 2026.
Kila tukifuatilia Tumekuwa Tukipewa Majibu yasioridhisha kwetu sisi. Kwani Pesa ya Kujikimu kwa mtumishi wa Ajira mpya ni Haki kisheria. Hii inapelekea matatizo ya afya ya akili na kupunguza motisha ya utendaji kazi kwetu sisi Kulingana na Mazingira ya Kazi Kuwa ni Magumu (Makazi kwa watumishi).
Tunaomba Jamii Forum itusaidie kutupazia Sauti kwenda Mamlaka husika @Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi, Juu ya hii Kero yetu sisi kama watumishi wa Ajira mpya.
View attachment 3585395
hao wanavyanzo vingi vya mapato lakini pia ukumbuke afya vi semina vipo vipo.Ni mara chache sana kukuta wanalalamika.Hivi kwanini malalamiko ni ya walimu, na kada ya Afya
Sijawahi kusikia wahasibu, Wachumi, ma engineers wakilalamika kuhusu fedha za kujikimu??
Hiyo ruhusa kwenye mfumo ilikubaliwa?.Je, hapo panashida.Halmashauri ya wilaya ya Butiama
Kaimu Mkuu wa idara ya ujenzi ananyanyasa wafanyakazi wenzie kwa maneno chonganisi.
Nilikuwa na matatizo ya kifamilia nimeomba ruhusa kwenye mfumo, lakini nakuja kupigiwa simu na kaimu Mkuu wa idara ya ujenzi kuwa ameulizwa na mkurugenzi niko wapi, majibu yake ni kwamba hatambui niko wapi Ananisukuma kwa maneno nikajieleze mwenyewe.
Serikali wekeni utaratibu mzuri kwa wafanyakazi, Kwa maelezo haya naomba nihame Halmashauri kwani siwezi fanya kazi na mbaya wangu ofisi moja.