MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Gharama ya kuhama ni kubwa sana. Huwezi kuhama kwa 350,000. Upange nyumba na kuhamisha mizigo.Huyo mwalimu pia hapendi kazi yake, kwani hawezi kuhama na fedha zake akaendelea kusubiri akiwa tayari kituo chake kipya cha kazi?
Mkifanya kazi hamuweki akiba?Gharama ya kuhama ni kubwa sana. Huwezi kuhama kwa 350,000. Upange nyumba na kuhamisha mizigo.
Wale waliohamia Dodoma walienda kabla ya malipo au kwakuwa jamaa ni mwalimuHuyo mwalimu pia hapendi kazi yake, kwani hawezi kuhama na fedha zake akaendelea kusubiri akiwa tayari kituo chake kipya cha kazi?
nafikiri sio sawa kumpangia mtu matumizi yake ya fedha,Mkifanya kazi hamuweki akiba?
Pesa yake ipi mkuu...??Huyo mwalimu pia hapendi kazi yake, kwani hawezi kuhama na fedha zake akaendelea kusubiri akiwa tayari kituo chake kipya cha kazi?
Sasa mbona wanatembea mabega juu juu ama inakua tarehe 60Pesa yake ipi mkuu...??
Unajua kazi ya mwalimu kweli wewe...π«€
Wanajitahidi kupambania reputation yao kwa jamii....πSasa mbona wanatembea mabega juu juu ama inakua tarehe 60
Hii sasa ndio shidaWanajitahidi kupambania reputation yao kwa jamii....π
Maelezo mengi, mnatumalizia karatasi.Barua ya uhamisho mlitoa mwezi wa 11 mwaka 2025 halafu malipo ya kwanza Tsh 360,000/= mkatoa Januari 2026. Hivi kabla ya kuandika barua ya uhamisho hamkujua kuwa hakuna hela? Kinachokera zaidi pesa yenyewe mmelipa kwa mafungu karibia mwaka mzima. Na hii inawezekana ubishi wa mwalimu umechangia yeye kupata hizo hela zake japo kwa mafungu.
Mimi ninashauri aliyeandika barua ya uhamisho atumbuliwe kwa sababu kaisababishia serikali hasara ya kulipa mshahara wa bure kwa mwalimu aliyekuwa hafanyi kazi akisubiria hela zake za uhamisho. Ingawa huyu mwalimu naye ni mbishi ila katika hili kafanya vyema kuwagomea hawa miungu watu wanaoonea walimu bila sababu.
Na kama kuna waalimu wamehama bila kulipwa pesa za uhamisho muwaongezee angalau 25% ya hela wanazodai kwa kuwacheleweshea malipo.
View attachment 3675748View attachment 3675749ml