Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sheria za nchi lazima ziheshimiwe, hususan katika sekta ya ujenzi.Mr jidu uko sahihi kabisa na huo mtirirko wako , ebu tuwe wakweli yaaani hata vibanda vya makuti , choo na nyumba ya chini 2 to 4 bedrooms niwe registered kweli? huu sasa UONEVU.
Unajenga kiwanja kilichopimwa na serikali, hlafu sheria za ujenzi hazifuatwi.
Watu wanafikir sheria za ujenzi ni za watu fulani tu.
Kimsingi tungefahamu site yako iko wapi, tunawatonya mamlaka husika na moja kwa moja unatozwa fine ya Tshs 5million kama hutaki kupelekwa mahakamani.