DOKEZO Halmashauri ya wilaya Kinondoni V/S Diwani Urio

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mr jidu uko sahihi kabisa na huo mtirirko wako , ebu tuwe wakweli yaaani hata vibanda vya makuti , choo na nyumba ya chini 2 to 4 bedrooms niwe registered kweli? huu sasa UONEVU.
Sheria za nchi lazima ziheshimiwe, hususan katika sekta ya ujenzi.
Unajenga kiwanja kilichopimwa na serikali, hlafu sheria za ujenzi hazifuatwi.
Watu wanafikir sheria za ujenzi ni za watu fulani tu.
Kimsingi tungefahamu site yako iko wapi, tunawatonya mamlaka husika na moja kwa moja unatozwa fine ya Tshs 5million kama hutaki kupelekwa mahakamani.
 
Mr bandeko hakika umenifanya nitafakari upya kuhusu ili shauri ila matajiri wengi hawafunguki kuhusu mikataba , ngoja tajaribu kumdodosa.,
sema yeye alipoona na kujua lile eneo ni la KMC alitegemea ushirikiano mkubwa pasi na shaka, ukizingatia KMC wanakuwa wanapata chanzo kipya cha mapato.
 
SHERIA ZA NCHI ZINGEKUWA ZINAHESHIMIWA TUSINGEKUWA HAPA TULIPO MR JIDU!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…