Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Halmashauri ya Ileje iko mkoa wa songwe.Ndio wapi uko
Mkoani Songwe. Mkuu tusaidieni kupaza sauti tulipwe pesa za kujikimu,imagine tuko ugenini,vijijini na tunakoenda kufuata mahitaji (itumba,isongole) kwa pikipiki ni almost 30,000/ kwenda tuu.Ndio wapi uko
Poleni natumai DMO ndugu Joyce ongati atawasaidia kupata stahiki zenu maana wandali wakikujua wewe ni mgeni vitu wanapandisha Bei.Mkoani Songwe. Mkuu tusaidieni kupaza sauti tulipwe pesa za kujikimu,imagine tuko ugenini,vijijini na tunakoenda kufuata mahitaji (itumba,isongole) kwa pikipiki ni almost 30,000/ kwenda tuu.