A
Anonymous
Guest
June 2, 2026, Katibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba alituambia Ajira Mpya 2026 kuwa pesa za kujikimu zimeingia kutoka hazina hivyo wote tutapatiwa pesa zetu za kujikimu, kitu cha ajabu Juni 13, 2026 tukawekewa kiasi ambacho ni robo ya pesa tuliyosain.
Hivyo, Ajira Mpya tumebaki na sintofaham ya hizo pesa nyingine zimeenda wapi, hatuelewi hii wilaya iko vipi kwenye ishu ya hizo pesa.
Hoja ya awali ~ Asante, Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba tumepewa Fedha za Kujikimu