RESOLVED KERO Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imetuingizia Nusu ya Fedha za Kujikimu

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
June 2, 2026, Katibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba alituambia Ajira Mpya 2026 kuwa pesa za kujikimu zimeingia kutoka hazina hivyo wote tutapatiwa pesa zetu za kujikimu, kitu cha ajabu Juni 13, 2026 tukawekewa kiasi ambacho ni robo ya pesa tuliyosain.

Hivyo, Ajira Mpya tumebaki na sintofaham ya hizo pesa nyingine zimeenda wapi, hatuelewi hii wilaya iko vipi kwenye ishu ya hizo pesa.

Hoja ya awali ~ Asante, Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba tumepewa Fedha za Kujikimu
 
Mara nusu mara robo,hueleweki
 
Hiyo inawatosha,kwanza kazi huwa hamfanyi ipasavyo, serikali imewahurumia sana kuwapa ata hiyo nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…