Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, inauza viwanja

Karibuni kisiwa cha mafia, kuwekeza kwenye utalii na uchumi wa buluu. Mafia inakua sana, kuwa sehemu ya ukuaji wake
Bei ni rafiki ila tatuzo ni kisiwani uko nikama pamesaulika.
 
kuna investors wengi wamenunua maeneo, soon kutaamka mkuu. Kuna meli inatengenezwa, hadi june itakuwa imekamilika kuja kusaidiana na kivuko kilichopo sasa cha mv kilindoni
 
Hao wawekezaji wamenunua mwaka jana? Mafia imekaa miaka lukuki ila haina Jipya serikali itaki kuipa umuhimu wa maendeleo kwa kuogopa mambo kama ya Zazibar, Taiwan, Hong Kong hivyo visiwa vkkipata maendeleo figisu za kujitenga kua nchi kamiri kuanza, unafikiri CCM hawalijui, hicho kisiwa kitabaki hivo hivo miaka neenda miaka rudi, kama unavo ona visiwa vya pemba.
 
Shida ile kisiwa haijawekewa mikakati ya kuiendeleza. Kwa visiwa vilivyopo nchini Tanzania Unguja pekee ndo ina nafuu kwani mikakati mingi inawekwa na inaendelezwa kwa kasi kupitia uchumi wa utalii. Kile kisiwa kingepata hata mbegu ya geochelone gigantia na mbegu za swala na kanga au peacock na species flani za mimea nadhani ingetangazika kiutalii
 
Pana umeme wa uhakika wa cable kama zanzibar na pemba?
-Sisi wabara tujivunie kisiwa chetu halali bin halali.
 
Back
Top Bottom