A
Anonymous
Guest
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, kumekuwepo na tabia ya makusudi ya kuchelewesha malipo ya likizo kwa watumishi wa umma, hususan katika Idara ya Elimu ya Msingi.
Tatizo hili hujitokeza karibu kila mwaka. Kwa mfano, walimu walioomba likizo mwezi Desemba 2025 hadi sasa hawajalipwa, ilhali utaratibu unamtaka mwajiri kulipa gharama za likizo siku chache kabla ya mtumishi kuanza likizo.
Tunaomba mamlaka husika zifuatilie suala hili na kuchukua hatua stahiki, kwani likizo pamoja na malipo yake ni haki ya kisheria kwa mtumishi, si hisani wala wajibu wa hiari.
Pia soma ~ Naibu Waziri Qwaray: Waajiri wote lazima watenge bajeti ya kumlipa mtumishi pindi anapohama