A
Anonymous
Guest
Ajira ya Mwaka 2026 January katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Walimu hatujalipwa pesa zetu za kujikimu na tukiuliza wahusika kama SLO anatufokea na hawatoi majibu mazuri.
Soma Pia: Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Kada ya Afya hatujalipwa kujikimu
Sisi ni kitengo cha Statistics and Logistics yaani Afisa Elimu Takwimu wanaotakiwa kuhakikisha taarifa zote ziko sawa za malipo, vifaa na kila kitu katika Wilaya au Halmashauri.