A
Dah😅Wanakuambia, "Nyinyi mlikuwa mtaani mnateseka na maisha, hamna hata hela ya kula, leo hii serikali imewaonea huruma imewaajiri, mnaanza kuona eti inawatesa kwa kutowapa hiyo hela ya kujikimu"
Kumbe Serikali kutoa ajira ni kuwahurumia vijana?Wanakuambia, "Nyinyi mlikuwa mtaani mnateseka na maisha, hamna hata hela ya kula, leo hii serikali imewaonea huruma imewaajiri, mnaanza kuona eti inawatesa kwa kutowapa hiyo hela ya kujikimu"
☝🏿Hivi posho ya kujikimu kwa afisa maendeleo ya jamii huwa ni Shngapi?
Nimewa quote wanachokiongea watu wa halmashauriKumbe Serikali kutoa ajira ni kuwahurumia vijana?
Inauma sanaNimewa quote wanachokiongea watu wa halmashauri
Tafadhali kuweni na subira kidogo, serikali itawalipa tutakapouza dhahabu yote kule bot..Nimeogopa kutaja directly kituo cha kazi huwenda nikajulikana
Lakini,
Muda mrefu umepita Baada ya kuripoti ila ni kama wanapotezea posho ya kujikimu wakati ipo kwa mujibu wa Sheria.
Tumewasiliana na wenzetu wa Halmashauri zingine tukagundua hili ni tatizo la Halmashauri zote za mkoa wa Kilimanjaro.
Tunaomba Msaada, Serikali ngazi za juu iingilie kati tafadhali.