jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Walimu ndio punching bag zao..wanatumikishwa sana hawa watu.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halmashauri za majiji, manispaa, miji, wilaya, na vijiji zinachangisha watumishi na wanachi baada ya kukubaliana kwenye vikao na mikutano yao.
Mwenge ni tunu na alama inayotambulisha nchi yetu. Makubaliano yakifikiwa ni ya wengi wape kame ilivyo ada kwenye vikao.
TUNAUPENDA MWENGE
UNAWAMRIKA WAZEMBE , WALA RUSHWA NA KUFICHUA MAOVU KWENYE MIRADI.
MWENGE HOYEEEEE
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Wewe ni muongo na mnafiki, hicho kikao huwa wanakaa nani wakakubaliana?Halmashauri za majiji, manispaa, miji, wilaya, na vijiji zinachangisha watumishi na wanachi baada ya kukubaliana kwenye vikao na mikutano yao.
Mwenge ni tunu na alama inayotambulisha nchi yetu. Makubaliano yakifikiwa ni ya wengi wape kame ilivyo ada kwenye vikao.
TUNAUPENDA MWENGE
UNAWAMRIKA WAZEMBE , WALA RUSHWA NA KUFICHUA MAOVU KWENYE MIRADI.
MWENGE HOYEEEEE
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Upuuzi huu sasa ifikie mahali ukomeHalmashauri za majiji, manispaa, miji, wilaya, na vijiji zinachangisha watumishi na wanachi baada ya kukubaliana kwenye vikao na mikutano yao.
Mwenge ni tunu na alama inayotambulisha nchi yetu. Makubaliano yakifikiwa ni ya wengi wape kame ilivyo ada kwenye vikao.
TUNAUPENDA MWENGE
UNAWAMRIKA WAZEMBE , WALA RUSHWA NA KUFICHUA MAOVU KWENYE MIRADI.
MWENGE HOYEEEEE
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Hivi mwalimu akikataa kuchanga watamfanyaje?
Swali zuri. Hawamfanyi kitu. Ila wanahamasishwa kuchangia Ili kumpokea na kumkirimu mgeni. Asipochangia mmoja au wawili, wengine watachangia na mambo yataenda.Hivi mwalimu akikataa kuchanga watamfanyaje?
Kama ni hiari sidhani kama kuna tatizo.Swali zuri. Hawamfanyi kitu. Ila wanahamasishwa kuchangia Ili kumpokea na kumkirimu mgeni. Asipochangia mmoja au wawili, wengine watachangia na mambo yataenda.
Ushauri wangu. Tusipende kuamini kuwa kila jambo ni baya tu kisa wewe hulipendi.
Waalimu wana akili timamu mkuu.Kwasababu hana akili timamu hawezi kukataa kuchanga.
Achana nae huyo Mkuu. Walimu hawana akili timamu halafu wanae anapeleka shule kwa walimu haohao, unafikiri yeye yupo timamu?Waalimu wana akili timamu mkuu.
Hivi mwalimu akikataa kuchanga watamfanyaje?
Hivi mwalimu akikataa kuchanga watamfanyaje?
Hahaha sema mi nisingetoaWatapigwa biti sio la kitoto,kutoka kwa wakuu wao washule,maafisa elimu hadi mkurugenzi.