nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Kwani mishahara ya TRA ya Nanyamba ni tofauti na ya Ilala? Kama ni sawa ni kwa nini wakati makusanyo ni tofauti? Au unataka halmashauri iajili watumishi Kama vibarua, yaani madaktari na waalimu walipwe mishahara mapato yakiwa mazuri, yakipungua wasubiri kwanza.