johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akiwa katika mji wa Makambako Rais Samia amewapongeza viongozi wa Halmashauri kwa kuvuka malengo ya Ukusanyaji wa mapato na amewataka wabuni Vyanzo vipya vya Mapato.
Rais Samia amekuwa akisisitiza ubunifu mzuri wa Ukusanyaji wa mapato ya serikali mara kwa mara ili kuiongezea uwezo wa kutoa huduma kwa Wananchi.
Ombi langu kwa Wakurugenzi mjitahidi Ushuru mtakaoubuni uwe rafiki kwa Wapiga kura.