Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
Habari,
naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
Kazi za TAMISEMI kama unaweza zikwepa zikwepe tu mkuu! Sio kama nazidiss, ila ukweli ni hawajali struggle ulopitia kwenye Elimu yako....Thank me laterHabari,
naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
Habari,
naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
Kuna ofisi Yani ukienda hata kunya tu unapata posho, ila halmashauri inategemea na mkurugenz wenuHabari,
naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
Unaanzaje kuiacha OSHA na TBS mkuuUkifanya kazi taasisi za serikali zinazozalisha pesa aseee kuna posho hadi utazikimbia.....mfano TRA, Tcra, TMDA, Necta, Nacte, TANAPA,
Jiandae na haya...Habari,
naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
Unaisahauje CMSA?Hivii hzo taasisi zinaizid nini TPA ambayo hujaantika nisaidiee jibuu
Usimdanganye mwenzakoHalmashauri Kuko Poa
Majungu yanatokana na idadi kubwa ya wafanyakazi wa kike.Posho za halmshauri inategemea na mapato ya ndani ya halmshauri mtu anaefanya kazi halmshauri ya jiji au manispaa huwezi mfananisha na wa halmshauri wilayani.
Sifa kubwa ya halmshauri ni majungu na kulogana
Jiandae na haya...
1. Kupelekesha na diwani/DC/DAS.
2. Kufwatiliwa na TAKUKURU hasa kama mradi una hoja/matatizo.
NB: Kama una option nyingine kaa mbali na halmashauri.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Engineer mzima unakubali kwenda Halmashauri!!!
Si bora uajiriwe Acacia.