Umeshasaini mkataba?Nimesha ripoti, ila mazingira ni ya HOVYO
Basic 9.4 laki ukitoa makato hapo unarudi nyumbani na 6.5 laki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshasaini mkataba?Nimesha ripoti, ila mazingira ni ya HOVYO
Nipe namba yako ili tuongee vizuriKila mbuz hula kwa Urefu wa kamba yake
Engeneer unawaz nn njoo tufanye kazi.
laki 9 ???????Umeshasaini mkataba?
Basic 9.4 laki ukitoa makato hapo unarudi nyumbani na 6.5 laki
Wewe bado hujaripoti kama hata mshahara hujui.laki 9 ???????
Unaajiriwa kama Engineer wa sekta gani, maana kuna sekta zingine siyo za kipaumbele hivyo hata kazi mara nyingi hazipo kwa hiyo huwezi kuwa na posho wakati hakuna kazi zaidi ya kusubiria Mshahara wako mwisho wa mwezi.Habari,
naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
Kweli kabisaUnaajiriwa kama Engineer wa sekta gani, maana kuna sekta zingine siyo za kipaumbele hivyo hata kazi mara nyingi hazipo kwa hiyo huwezi kuwa na posho wakati hakuna kazi zaidi ya kusubiria Mshahara wako mwisho wa mwezi. Engineer anakuwa na posho kama sekta yake inakuwa na kazi/miradi mingi ambayo inatekelezwa na kupatiwa fedha kutoka kwa WAHISANI AU SERIKALINI vinginevyo ni kijiwe tuu cha soga kama vile vya kahawa tofauti yake ni kuwa huku utakuwa walau upo smart kidogo.
Unaajiriwa kama Engineer wa sekta gani, maana kuna sekta zingine siyo za kipaumbele hivyo hata kazi mara nyingi hazipo kwa hiyo huwezi kuwa na posho wakati hakuna kazi zaidi ya kusubiria Mshahara wako mwisho wa mwezi. Engineer anakuwa na posho kama sekta yake inakuwa na kazi/miradi mingi ambayo inatekelezwa na kupatiwa fedha kutoka kwa WAHISANI AU SERIKALINI vinginevyo ni kijiwe tuu cha soga kama vile vya kahawa tofauti yake ni kuwa huku utakuwa walau upo smart kidogo.
Sasa mechanical engineer utapa vipi posho? labda ufanye lobbying uzuge kuungana na wahandisi wa maji tena mbaya zaidi na wenyewe siku hizi hawapo halmashauri tena! atleast ungezuga unashirikiana nao kwenye miradi ya pampu! wakienda site unaandikiwa 60k yako maisha yanasonga!Nimeajiriwa Kama mechanical engineer
Kama umeajiriwa kama Mechanical Engineer ndugu yangu shughuli siyo ndogo, nakushauri tuu bora ukajenge uhusiano mzuri na Wahandisi wa Ujenzi au hata Maji (RUWASA) ili uwe unaingia kwenye mitambo ya Pump,treatment plant installation n.k.Hapo kwa Halmashauri utakuwa kama fundi magari na kutengeneza jenereta la ofisi likileta hitilafu.Nimeajiriwa Kama mechanical engineer
Fikiria kufanya kazi kwa ajili ya kujenga taifa, kuwa mzalendoHabari,
naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
Na lisipo waka utaazimiwa na madiwani leave alone ded kukupiga barua ya onyo!Kama umeajiriwa kama Mechanical Engineer ndugu yangu shughuli siyo ndogo, nakushauri tuu bora ukajenge uhusiano mzuri na Wahandisi wa Ujenzi au hata Maji (RUWASA) ili uwe unaingia kwenye mitambo ya Pump,treatment plant installation n.k.Hapo kwa Halmashauri utakuwa kama fundi magari na kutengeneza jenereta la ofisi likileta hitilafu.
Wewe bado hujaripoti kama hata mshahara hujui.
Hiyo ndio scale yake TGS mkuu ni scale ya diploma au degree mkuu??
Waanze wabunge kwanza kutuonesha mfano!!Fikiria kufanya kazi kwa ajili ya kujenga taifa, kuwa mzalendo
Wabunge wetu ni wazalendo wasio na shakaWaanze wabunge kwanza kutuonesha mfano!!
Wanachukua posho hawachukui??Shs ngap??Wabunge wetu ni wazalendo wasio na shaka
Fikiria kufanya kazi kwa ajili ya kujenga taifa, kuwa mzalendo