Halmashaurini kuna posho?

Halmashaurini kuna posho?

Hivi kazi za halmashauri wanatangazia wapi, naona za watendaji tuu
Naomba mnijuze wenye kufahamu
 
Habari,

naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
Unaajiriwa kama Engineer wa sekta gani, maana kuna sekta zingine siyo za kipaumbele hivyo hata kazi mara nyingi hazipo kwa hiyo huwezi kuwa na posho wakati hakuna kazi zaidi ya kusubiria Mshahara wako mwisho wa mwezi.

Engineer anakuwa na posho kama sekta yake inakuwa na kazi/miradi mingi ambayo inatekelezwa na kupatiwa fedha kutoka kwa WAHISANI AU SERIKALINI vinginevyo ni kijiwe tuu cha soga kama vile vya kahawa tofauti yake ni kuwa huku utakuwa walau upo smart kidogo.
 
Unaajiriwa kama Engineer wa sekta gani, maana kuna sekta zingine siyo za kipaumbele hivyo hata kazi mara nyingi hazipo kwa hiyo huwezi kuwa na posho wakati hakuna kazi zaidi ya kusubiria Mshahara wako mwisho wa mwezi. Engineer anakuwa na posho kama sekta yake inakuwa na kazi/miradi mingi ambayo inatekelezwa na kupatiwa fedha kutoka kwa WAHISANI AU SERIKALINI vinginevyo ni kijiwe tuu cha soga kama vile vya kahawa tofauti yake ni kuwa huku utakuwa walau upo smart kidogo.
Kweli kabisa
 
Nimeajiriwa Kama mechanical engineer

Sasa mechanical engineer utapa vipi posho? labda ufanye lobbying uzuge kuungana na wahandisi wa maji tena mbaya zaidi na wenyewe siku hizi hawapo halmashauri tena! atleast ungezuga unashirikiana nao kwenye miradi ya pampu! wakienda site unaandikiwa 60k yako maisha yanasonga!

Unless uwe umepata wilaya nzuri, ila kwa kada yako huko hamashauri usishangae ukaishia kuwa "Transport Officer" yani unakuwa unakagua pancha za magari na kupanga nani atumie gari gani kwa siku fulani!!
 
Nimeajiriwa Kama mechanical engineer
Kama umeajiriwa kama Mechanical Engineer ndugu yangu shughuli siyo ndogo, nakushauri tuu bora ukajenge uhusiano mzuri na Wahandisi wa Ujenzi au hata Maji (RUWASA) ili uwe unaingia kwenye mitambo ya Pump,treatment plant installation n.k.Hapo kwa Halmashauri utakuwa kama fundi magari na kutengeneza jenereta la ofisi likileta hitilafu.
 
Habari,

naomba mnijuze ndugu zangu, Hivi ukiwa umeajiriwa na Halmashauri kama Engineer kuna uwezekano wa kupata posho ???
Fikiria kufanya kazi kwa ajili ya kujenga taifa, kuwa mzalendo
 
Kama umeajiriwa kama Mechanical Engineer ndugu yangu shughuli siyo ndogo, nakushauri tuu bora ukajenge uhusiano mzuri na Wahandisi wa Ujenzi au hata Maji (RUWASA) ili uwe unaingia kwenye mitambo ya Pump,treatment plant installation n.k.Hapo kwa Halmashauri utakuwa kama fundi magari na kutengeneza jenereta la ofisi likileta hitilafu.
Na lisipo waka utaazimiwa na madiwani leave alone ded kukupiga barua ya onyo!
 
Back
Top Bottom