Halo effect(mapenzi upofu)

Halo effect(mapenzi upofu)

Ukipenda hauoni.

Unapokuwa kwenye mapenzi na mtu ni ngumu kuona mapungufu yake sababu ubora unaopenda kwake, unafanya upuuzie mapungufu aliyonayo. Kitaalamu hali hiyo inaitwa "Halo Effect".

Ila mwisho wa siku mapenzi huisha ndipo utakapo yaona hayo mapungu uliyo yapuuza.

binti sayuni licha ya kuwa na tako lakinbaada ya mapenzi kuisha niligundua kumbe ni mfupi sana[emoji23][emoji23], Ebu tuwambie ww uligundua nini?
Kweli haya mambo ukiendekeza macho ya mwili lazima uangukie pabaya, kwa hiyo kalio likakosa thamani kisa ufupi!!
 
Ukipenda hauoni.

Unapokuwa kwenye mapenzi na mtu ni ngumu kuona mapungufu yake sababu ubora unaopenda kwake, unafanya upuuzie mapungufu aliyonayo. Kitaalamu hali hiyo inaitwa "Halo Effect".

Ila mwisho wa siku mapenzi huisha ndipo utakapo yaona hayo mapungu uliyo yapuuza.

binti sayuni licha ya kuwa na tako lakinbaada ya mapenzi kuisha niligundua kumbe ni mfupi sana[emoji23][emoji23], Ebu tuwambie ww uligundua nini?

Changamoto sana,hakuna kizuri kisicho na kasoro.
 
Back
Top Bottom