- Thread starter
- #41
sio hivyo mama big wangu,baada ya kukusoma cjui kwa nini nikajikuta nikiimba hili pambio.
mama big niruhusu nikiri kuwa wewe ni the one and only in many wayz!
Usijali karibu saana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio hivyo mama big wangu,baada ya kukusoma cjui kwa nini nikajikuta nikiimba hili pambio.
mama big niruhusu nikiri kuwa wewe ni the one and only in many wayz!
aaah na wewe sasa mwisho utakuja anataka kunusa t.i.goHabari zene waungwana habari za masiku kibao natumai wote jana tulikwenda katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani na pia tulipima afya zetu. Kwa wale wenye maambukizo msijali ni sehemu ya maisha kwani kuishi na virusi sio neno kama utajitambua na kutunza afya yako. Kwa wale wasiokuwa na maambukizo jihadharini na mtunze afya zenu kwani ni zawadi kutoka kwa muumba. Pamoja na yote ninawamiss sana kwani kwa muda sasa nimekuwa na majukumu ya ujenzi wa taifa, lakini cha zaidi nilikuwa nimefichwa kwani huyu baba sasa hataki kunusa chupi tuu anataka na kwapa hivyo kutumia muda mwingi kuwa nae. Leo nashukuru amesafiri hivyo nikaona niwe nanyi.