Halotel anzisheni special thread

Halotel anzisheni special thread

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Posts
9,446
Reaction score
17,017
Halotel anzisheni special thread tuweze kuwafikia na kutoa malalamiko yetu dhidi ya huduma zenu mbaya.

Mfano. Ukipiga simu huduma kwa wateja haipokelewi.

Unaweza kununua bando ikachukua muda mrefu kabla huduma haijarejeshwa.
Kumbukeni wengi tulihamia halotel baada ya kampuni kubwa kujisahau. Sasà hivi wamejirekebisha..
 
Sasa hawajamaa ni buree kabisa, yani hata ukituma text tu znafeli
 
Kibaya zaidi Ni pale ukituma pesa au ukitumiwa pesa.
 
Kwa hili hawa jamaa wamefeli sana. Jana nilikuwa kwenye zoom meeting bundle likaisha.

Nilipoongeza hudma haikuridi hadi muda wa mkutano ukaisha. Halafu huduma kwa wateja hawakupoka simu yangu. Wanakera!
 
Halotel wazee wa bundle za internet, mpo vizuri sana kongole kwenu halotel.
 
Mwanzo nlikua natumia TTCL .wakawa wazinguzi nkahamia Halotel. Ambayo ni kitonga ..... lakini kidogo kwenye huduma kwa wateja mnazingua Sana

Sahv nimesajili laini za mitandao yote ..ili now flexible ..yoyote ikizingua nabadilisha
 
yote tisa kumi ukiwapigia huduma kwa wateja namba 100 kuitaji msaada awapokea kabisa.
 
Wanaboa mnooo, afu customer care wao ni hovyooo
 
Back
Top Bottom