Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,353 Reaction score 815 Aug 19, 2023 #1 Unapotao fedha kutoka kwa wakala bado unatozwa tozo za serikali wakati serikali ilishatamka kuwa tozo za serikali imeshaondolewa kwenye miamala ya simu.Je hii ni sawa au kwa anayefahamu tafadhali ufafanuzi.
Unapotao fedha kutoka kwa wakala bado unatozwa tozo za serikali wakati serikali ilishatamka kuwa tozo za serikali imeshaondolewa kwenye miamala ya simu.Je hii ni sawa au kwa anayefahamu tafadhali ufafanuzi.
Ilebayee Senior Member Joined Aug 3, 2020 Posts 129 Reaction score 678 Aug 19, 2023 #2 Tozo zimeondolewa kwenye kutuma pesa tu. Ukitoa lazima ukutane nayoo
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Aug 19, 2023 #3 Tozo ni kipimo cha uzalendo.
B bagi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 1,747 Reaction score 1,766 Aug 19, 2023 #4 Tozo Bado zipo sema zimepunguzwa tuu
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 Aug 19, 2023 #5 Tigo pia juzi wamenipiga tozo ya serikali wakati najua ilishafutwai
4by94 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2019 Posts 9,214 Reaction score 8,306 Aug 19, 2023 #6 Ncha Kali said: Tozo ni kipimo cha uzalendo. Click to expand... ila wanaifanyia nn kama kila kitu mikopo na ubinafsishaj?
Ncha Kali said: Tozo ni kipimo cha uzalendo. Click to expand... ila wanaifanyia nn kama kila kitu mikopo na ubinafsishaj?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Nov 16, 2023 #7 Ncha Kali said: Tozo ni kipimo cha uzalendo. Click to expand... Kulipa au kuzipokea