Halotel Fibre

Halotel Fibre

abramaleko

Member
Joined
Feb 22, 2023
Posts
14
Reaction score
48
Jamani kwa aliyeshatoka kutumia hii huduma ya halotel fibre ipoje na ipo reliable?

Mm kwa sasa nakaa goba ila natumia hii router ya airtel 5g nalipia hii 30mbps kwa 110,000 na during peek hours yani haifai kabisa internet ni slow balaa yani mfano mm nafanyaga voice chat mara nyingi via discord yani hamuelewani internet inakuwa inasubuwa. Na ikikaribia kipindi cha kulipia inashuka spidi vibaya mno na isitoshe ndani nina kama device 4 tuh zinatumia internet

Naona halotel wanahuduma unafungiwa bure kwa wakazi wa huku goba na bundle zao kidogo ni affordable mps 40 kwa shs 90,000. Kwa wale walioshawahi kuitumia je ipoje wakuu?
 
Sina fibre ila nachojua fibre ni mara 1000 bora kuliko Hizo wireless router, labda changamoto zinginezo vitu kama kuna marekebisho na vile poa bei yao iko chini give it a try.
 
Tangazo lao hili hapa
 
Attachments

  • IMG-20240708-WA0015.jpg
    IMG-20240708-WA0015.jpg
    183.5 KB · Views: 32
Jamani kwa aliyeshatoka kutumia hii huduma ya halotel fibre ipoje na ipo reliable?

Mm kwa sasa nakaa goba ila natumia hii router ya airtel 5g nalipia hii 30mbps kwa 110,000 na during peek hours yani haifai kabisa internet ni slow balaa yani mfano mm nafanyaga voice chat mara nyingi via discord yani hamuelewani internet inakuwa inasubuwa. Na ikikaribia kipindi cha kulipia inashuka spidi vibaya mno na isitoshe ndani nina kama device 4 tuh zinatumia internet

Naona halotel wanahuduma unafungiwa bure kwa wakazi wa huku goba na bundle zao kidogo ni affordable mps 40 kwa shs 90,000. Kwa wale walioshawahi kuitumia je ipoje wakuu?
Tumia hiyo achana na Airtel hao ni wezi Cc ephen_
 
Halotel hata mobile data siku hizi ni slow kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom