Halotel hiki ni nini?

Halotel hiki ni nini?

East

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2022
Posts
603
Reaction score
1,722
Hii mitandao jamani kifurushi ni cha elf moja, nimewasha data kama dakika mbili kuzima naletewa ujumbe huu. Hapo nimejiunga kwa elf moja na sio elf tatu

Screenshot_20221201-115307.png
 
Matumizi yako
Umeelewa ujumbe wa halotel na maelezo yangu nimununua kifurushi Cha elf moja ila naletewa ujumbe wa kifurushi cha elf tatu. Napo hapo ni matumizi yangu
 
shusha network mpaka E, utanishukuru, hakuna kuibiwa hapo
Soma ujumbe wao ikiwa wanadai nimejiunga kifurushi Cha elf tatu, ila kiuhalisia nimeunga mega bundle ya buku
 
Umeelewa ujumbe wa halotel na maelezo yangu nimununua kifurushi Cha elf moja ila naletewa ujumbe wa kifurushi cha elf tatu. Napo hapo ni matumizi yangu
huenda ulikuwa na kifurushi kingne nje na hyo 1000

wapigie watakuelewesha vizuri na utaridhika
 
Back
Top Bottom