Halotel: Itatoboa kwa vodacom, airtel, tigo,ttcl?

This is ridiculous......Hizo dola 736 million za Marekani wanawekeza kwenye nini? Wakati mikonga yenyewe niya kukodisha!

Hawa wanakuja na figure kubwa ili watukamue kwenye kodi.
 
Dola 736 million ni sawa na 16.9 tsh billions? Mzaha huu
 
nasikia hawa walipewa kibali cha kuanzia kusambaza huduma za mawasiliano vijijini.

kwanza hawa ttcl kila siku si wako hapa nini kiliwashinda kupeleka mawasiliano huko mpaka leo hii kampuni hii inakuja?

hizo taasisi za serikali si zipo bila huduma miaka nenda rudi kwa nini wasichangamke?

kufanya kazi kwa mazoea kumewachelewesha ttcl
 
kwa hiyo hawajatupa hela

lakini wenzao wamefika mbali
hembu hikiri namna hata hawa waliopo wanavyomenyana halafu ww ndo unaanza yataka roho ya paka si utani

Tekinolojia ya mawasiliano mpaka sasa inabadilika na kukuwa kwa kasi sana na kwa huku kwetu hakuna aliyefika mbali sana, watashinda tu na faida watapata.
 
This is ridiculous......Hizo dola 736 million za Marekani wanawekeza kwenye nini? Wakati mikonga yenyewe niya kukodisha!

Hawa wanakuja na figure kubwa ili watukamue kwenye kodi.
"Hawa jamaa mkonga wanao tumia niwakwao na sio wakukodi kama wafanyavyo voda,tigo na airtel kwa TTCL"
 
kuna issue watu wa uchumi wanaita consumer rights hivi hapa kwetu hii imekaaje?

leo hii huduma fulani ikizingua nani anatusemea sisi watumiaji?

au ni mpaka serikali iamue na kwenye mgongano wa maslahi km huu serikali itasema nini!!!!

naona shida ndio ipo hapa. kwa wenzetu wanafanyaje kuhakikisha kampuni zinashindana bila shinikizo kutoka kwa watu wengine?

hatuoni kuna haja ya kua na organization inayotetea maslahi ya walaji?
 
[h=1]Vietnam's military-run mobile firm launches in Tanzania, invests $736 million[/h][FONT=utm_neo_sans_intel][/FONT]
[FONT=utm_neo_sans_intel][/FONT]
[FONT=utm_neo_sans_intel]
post 21.10.2015 of VTG IN NEWS​

DAR ES SALAAM Oct 15 (Reuters) - Vietnam's ambitious state-run telecoms operator Viettel launched mobile and internet services in Tanzania on Thursday after investing $736 million in East Africa's second-biggest economy.

Tanzania's mobile telecoms sector has grown rapidly over the past decade, driven by demand for third-generation (3G) mobile services. The number of mobile phone subscribers in Tanzania rose by 16 percent in 2014 to 31.86 million, according to the country's telecoms regulator.
A statement issued by Viettel, which is run by Vietnam's Ministry of Defence, said the company will trade as Halotel in Tanzania and would offer both 2G and 3G services.
With an initial investment of $736 million Viettel's operations have enabled services to all 26 regions in the country across rural and urban areas," it said. Viettel's new investment in Africa follows the rollout of services in Burundi and Cameroon earlier this year and in Mozambique in 2014. Viettel said it had built 18,000 km of optical cable and more than 3,000 base transceivers, giving it coverage for up to 81 percent of Tanzania's population of over 47 million.
[portalarticle]748|viettel-unfolds-expansion-plans-to-provide-every-tanzanian-with-a-mobile-phone[/portalarticle]
The company will compete with four other main operators in Tanzania: Vodacom Tanzania, owned by South Africa's Vodacom , Bharti Airtel, Tigo Tanzania, which is part of Sweden's Millicom and Etisalat - owned Zantel. Three other mobile operators - state-run TTCL, Benson and Smart - have a small market share. The Tanzanian president's office said last year Viettel plans to invest $1 billion in a new 3G mobile phone network in the country. Like other African countries, mobile phone users have rocketed in Tanzania over the past decade, with telecoms the fastest-expanding sector in the country.
[portalarticle]746|viettel-launches-services-in-tanzania-as-halotel[/portalarticle]
Viettel operates in markets in Asia, Latin America and Africa, and has around 75 million subscribers worldwide, according to its website. Its revenues in 2014 were $9.8 billion and it is aiming for a 20 percent increase in 2015.
[/FONT]
 
Hiyo dola milioni 736 za Marekani ambayo wamesha invest ni kwenye nini?
 
ok mkuu sawa hpo kwenye oligopoly umeniacha hii ni nini?

inachangia vipi wao kutocompete na hawa waliopo?

ni mbinu ya kisayansi au ni fitina za biashara?

sababu wabongo wanaweza kukukwamisha kwa fitina hata km una strategy kubwa kiasi gani

Oligopoly ni muunganiko wa Makampuni matatu yanayotoa huduma zinazofanana ndani ya eneo moja. Mfano wa makampuni ya simu ya Tanzania.

Wale wanashirikiana kwenye kuweka bei na wakati huohuo wanashirikiana.

Hizo ni fitna za biashara kwasababu halotel alikuwa anaweza kuleta huduma za promosheni kama kupiga bure usiku, internet bure usiku mzima.

Ila haya makampuni kupitia TCRA walimbana halotel toka mwanzoni kuwa afuate tarrifs zilizowekwa na mamlaka husika.
 
This is ridiculous......Hizo dola 736 million za Marekani wanawekeza kwenye nini? Wakati mikonga yenyewe niya kukodisha!

Hawa wanakuja na figure kubwa ili watukamue kwenye kodi.
mkuu ndio wanasema hivyo sasa nikasema mhhh hapa ambapo biashara zinakua remoted na akina tcra wanatoboa kweli?

uhuria hamna tz hata kwenye riba za bank unapangiwa na Bot kuna baadhi ya bank wanataka kushusha riba zaid lkn terms za Bot haziruhusu
halaf sisi watumiaji tunasema bank au mitando ya simu inatunyonya wakati nao wanapangiwa

sasa huo ushundani uko wapi km si mazoea yale kwenye mifimo ile ile ya kinyonyaji?
 

Hakika, hii ni biashara huria.

Huwezi kulazimisha mtu afuate regulated tarrifs wakati alitumia gharama zake kwenye kuwekeza.

Na biashara huria inampa unafuu mtumiaji kwasababu atafuata kule kwenye afadhali.

Hapa halotel hatoboi hata kwa dawa.

Smart, Sasatel walikuja kwa mbwembwe.

Leo wapo chali.
 
wakubali kupata hasara ya kutupa ofa wananchi tupate intaneti bure bila kikomo kila saa sita usiku kama itawezekana.. coz vijana wengi tunatumia internet na watatupata vilivyo. pia waweke ofa ya kupiga simu bureeee halotel kwa haloteli mida ya usiku bila kujiunga. Wabongo wakishaingia laini ndo wastopishe ofa.

na kama wataanzisha HALOPESA kama tigopesa basi wasiweke makato iwe kama airtel vile (hakatwi mtu hapa) nao waanzishe hio.

na waanzishe kitu hiki.. ikiwa mteja akafikia siku yake ya kuzaliwa basi wamtumie hata Buku kwenye simu yake ili ajione anapendwa watu wanavyopenda vya bure na maisha yalivo magumu kutafuta hata jero basi watu watafakamia laini zao hadi bas afu baada ya miezi wastopishe ofa
 
Hiyo dola milioni 736 za Marekani ambayo wamesha invest ni kwenye nini?

Fuatilia ujue gharama ya kusimamisha mnara mmoja wa mawasiliano na kuunganisha kwenye mkonga.
 
Nilidhania kuna sheria iliyoanzishwa na TCRA kulazimisha makampuni ya simu ku share mikonga badala ya kujenga ya kwao wenyewe.

Hata hivyo bei ya kujenga mkonga sio kubwa kulinganisha na dola milioni 736 walizosha spend.
 
Fuatilia ujue gharama ya kusimamisha mnara mmoja wa mawasiliano na kuunganisha kwenye mkonga.
Na hii ni kwa nchi ambazo cost of labor ni very high.
 
wadau hapa wanasema hizi kampuni hua hazijiamulii zenyewe cha kufanya ziko chini ya bwana tcra

sasa hapa ndo kuna shida kwanini wamekuja kuwekeza kwenye linchi la ajabu km hili ambalo watu hawaachwi wakashindana kwa haki?

hawaoni watafanya biashara lkn ukuaji wake wa kawaida tofauti na km wangeachwa kujifanyia wanavyotaka?

halafu hawa tcra si regulatory authorority? kuregulate ndio hivi wadau? kuwaelekeza watu chakufanya?
 

halafu mkuu tcra km regulatory authority majukumu yake ni yepi? ni kupangia kampuni namna ya kuwaekeza?

kwanini wasiache watu wakashindana mpaka atakayeona ameshindwa akafunga virago?

na hii ndio ingeleta unafuu kwa watumiaji

pia wangejitahidi kukuza technologia ili waoperate kwa gharama ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…