Halotel kwisha kazi kwenye internet

Halotel kwisha kazi kwenye internet

Jamaa walikuwaga poa sana kwa unafuu wa vifurushi na speed ila kwa sasa ni disaster hawafai kabisa, waepuke waepuke waepuke speed kama konokono
Mi walivyoondoa kifurushi cha usiku cha buku mbili cha mkesha wa kudownlioad nami nimeama.kile ndo kilikuwa nafuu lakini mengine yoote hawana nafuu yoyote naweza nunua bando na likaisha hata bila kutumia
 
Umehamia wapi?
 
Ila net ya tigo iko slow, huwezi linganisha na voda. Sema voda kina cha maji kirefu
Watahangaika bure mwisho wasiku watarudi Voda na halotel.

Mitandao hii inatakiwa ujue unafata nini kama unafata unafuu wa vifushi fata lakini Kama spidi na huduma nzuri lazima pesa ikutoke tu hakuna namna.
 
Yan
Tunakomeshwa kwa kila namna
 
Sio gharama tu hata speed pia nayo ni zero

Hata kwenye matumizi mengine yasiyo hitaji internet bado yamekuwa lazy sana

Text message ukituma lazima uiangalie mpaka mwisho kama imekubali, unaweza ukajibu text ya mtu ukaiweka simu kando ukadhani imeenda ukaendelea na mishe zako zingine ukastukizwa na message ya huyo mtu akikulaumu kwa kumpuuza message yake
 
Sasa hv nao wamekuwa wezi, wanaiba data.
Halotel wananyakua chap bila kuremba nimetumia jitihada zote kama kuweka updates off na kupunguza quality video lakini wapi na wakati mwingine nikienda kwny chart ya matumizi ya data nakuta nimepigwa kitu kizito Mb kama 200 sijazitumia na wamekata bando
 
Mkombozi ni Fiber pekee ila tatizo haziko kila sehemu.
Mtu mwenye akili akija na fiber hawa wengine lazima washushe bei sababu lines zao zitakuwa useless ndani ya miaka 3 tu.
 
Back
Top Bottom