Umenikumbusha ngoma ya Mchinga Sound, mtupishe tunataka njia, tunataka njia ya kwenda Lindi na Mtwaraaa, mtupishe.
Bro wangu alikua anaipenda sana hii ngoma miaka ya 2001, 2000 hadi na mimi nikaipenda.
Kumekuchaa mchinga sound, kumekucha wenye wivu wakaze moyo maumivu yakizidi wamuone daktarii dokta ee dokta ee Adolph mbinga endelea kucheza na gita la soloo tuchenze mchinga sound.
Miaka inakimbia sana, rip watu wote niliokua nao, tuliokua tunacheza hii ngoma Makongorosi ambao kwa bahati mbaya hawapo leo hii, rip mama yangu, rip bro wangu. Miss those days.