Halotel mnakwaza sana

Halotel mnakwaza sana

Google Diggers

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
944
Reaction score
1,138
Kwa Sasa mnakwaza Sana. Inaelekea mmevimbilwa. Tunaomba njia tupite, MTUPISHE.

Ni Muda Sasa mtandao huu kotekote unasumbua kama kuelekea kuzama. Hamtoi taarifa yyt tukakaa na tahadhari.

Kila mnachojua wewe kinasimama. Nina taka kufanya Chochote kile mtandao una loading loading... 🕜🕑🕝🕝🕒🕞🕓🕟🕔🕔🕤🕘🕣🕕🕗🕖🕗🕢🕘🕢🕤 Hadi kero
 
Kwakweli wanazingua sana halotel unaweza kukaa bila mtandao ata siku nzima alafu wasiombe radhi kabisa wao wanachukulia poa tu
 
Kwa upande wangu nikiunganisha VPN ndio mtandao unapotea kabisa sijui wana shida gani hawa beberu's
 
Umenikumbusha ngoma ya Mchinga Sound, mtupishe tunataka njia, tunataka njia ya kwenda Lindi na Mtwaraaa, mtupishe.

Bro wangu alikua anaipenda sana hii ngoma miaka ya 2001, 2000 hadi na mimi nikaipenda.

Kumekuchaa mchinga sound, kumekucha wenye wivu wakaze moyo maumivu yakizidi wamuone daktarii dokta ee dokta ee Adolph mbinga endelea kucheza na gita la soloo tuchenze mchinga sound.

Miaka inakimbia sana, rip watu wote niliokua nao, tuliokua tunacheza hii ngoma Makongorosi ambao kwa bahati mbaya hawapo leo hii, rip mama yangu, rip bro wangu. Miss those days.
 
Kwa kweli nilijua simu yangu imezidiwa mzigo mpaka nikaamua kufuta baadhi ya mambo.
Leo ni siku ya nne kwangu huduma ya mtandao kuperuzi hakuna
 
Hahaha hii shida nchi nzima. Nisha restart simu na kuset mpaka visivyosetiwa kumbe kila mtu anaisoma namba.
 
🤣🤣🤣 halotel wana nyodo siku hizi,, wanajiona wamekua km voda,, wapuuzi flani hivi
 
Screenshot_20220618-093909.jpg

Zamani walikuwa wise Sana wanakuonesha japo kadi's count upande wa halopesa, which means they don't care anymore.

Yaani kama jeuri flan hivi
 

Attachments

  • Screenshot_20220618-093909.jpg
    Screenshot_20220618-093909.jpg
    21.7 KB · Views: 6
Vodacom net iko poa lakini Mbs zinayoyoma utafikiri simu inavujisha vile!!!!
 
Back
Top Bottom