Halotel, VodaCom na Yas wapata masafa ya 5G kutoka mnada wa TCRA

DexterLab

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2024
Posts
443
Reaction score
584
ikumbukwe mnamo tarehe 10 julai 2025 ilifanya mnada wa kugawa masafa ya 5G( 3600- 3800 mhz ) kwa watoa huduma za mawasiliano ya simu, na watoa huduma wote watatu walifanikiwa kushinda kupata masafa hayo ya 3600- 3800 mhz ambayo yanawezesha mawasiliano ya kasi ukilinganisha na vizazi vya mawasiliamo ya nyuma(4g,3g 2g).

pia ikumbukwe Yas na VodaCom wao walianza kutoa huduma ya 5G muda kidogo, ila hii ya sasa ni mawimbi yenye nguvu ya kati(3600- 3800 mhz)

Halotel wao ndo wanaanza kusambaza mtandao wenye kasi(5g) baada ya kupewa vitalu viwili vya mawasiliano. hii inawafanya TTCL kuachwa nyuma zaidi na washindani wake wa kibiashara.


maelezo zaidi yapo kwenye picha.

chanzo: TCRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…