Halotel wameamua hakuna sms ukijiunga na bando kwenye laini za internet

Halotel wameamua hakuna sms ukijiunga na bando kwenye laini za internet

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Habarini,
Kwa sasa imezidi yaani ukijiunga na bando kupitia laini ya internet ya halotel jaupati sms ya kujiunga.

Huu ni wizi wa kimkakati kwani hata ukiangalia salio la kifurushi hupati sms .

Serikali imelala tu wananchi wanaibiwa!!
 
Back
Top Bottom