H HAKI KWA WOTE JF-Expert Member Joined Nov 30, 2022 Posts 2,783 Reaction score 2,396 Jun 27, 2026 #1 Habarini, Kwa sasa imezidi yaani ukijiunga na bando kupitia laini ya internet ya halotel jaupati sms ya kujiunga. Huu ni wizi wa kimkakati kwani hata ukiangalia salio la kifurushi hupati sms . Serikali imelala tu wananchi wanaibiwa!!
Habarini, Kwa sasa imezidi yaani ukijiunga na bando kupitia laini ya internet ya halotel jaupati sms ya kujiunga. Huu ni wizi wa kimkakati kwani hata ukiangalia salio la kifurushi hupati sms . Serikali imelala tu wananchi wanaibiwa!!
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Jun 27, 2026 #2 Mbogamboga wamelijadili kilingeni