Halotel wanaibia wateja!

Halotel wanaibia wateja!

Nenda setting then apps hakuna app ambayo ni nameless? Kuna malware jina linakuwa empty. Kama ipo itoe, pengine inakuletea pia matangazo kwenye simu
umesomeka mkuu, shukrani sana, nalifanyia kazi sasahivi
 
Down load app ya data usage hii itakuonyesha umetumia MB ngapi kwa siku husika napia inakuonyesha kila app ime tumia kiasigani cha data
 
Most of time ni simu zetu zinakua zinatumia data na tunaishia kulaumu kuibiwa

Depending na settings zako.... ukiwasha tu data Email contacts Fb Insta na app kibao zinaanza ku run kwenye background na kutumia data
 
Kingine mtoa mada akae akijua unapokua na MB 100 afu uka download kitu cha MB 40 labda asitegemee zitatumika MB 40 zile zile ategemee MB 65 zitatumika, kuna sent & received data kutoka kwenye server na kukulink na kifaa chako hapo katikati kuna MB zinatumika.

Kuna Retry na Error Correction Kwenye mazingira dhaifu ya mtandao, kuna uwezekano wa kurudiwa upya (retries) na marekebisho ya makosa ya (error correction) ambayo yanaweza kuongeza matumizi ya data na wakati mwingine, faili huwa na compression dhaifu au zisizofanikiwa ku kucompressiwa vizuri na alie upload, hii inaweza kuongeza ukubwa wa data/MB zinayotumika uki download.

Tusipende kuwalaumu sana ISPs, kumbe kuna mambo ya kawaida kabisa ya kitech yanafanyika ili wewe ufurahie kuepo online [emoji28] kingine hata kama huoni kuna background tasks kwenye simu yako OS (hasa kama unatumia android) yenyewe tu inakula data ili ijiweke sawa kiutendaji.
 
Back
Top Bottom