cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Tangu Jana hali sio shwari huku mkoani,bando zipo higher na mtandao wenu wa kimagumashi mmeona zile mb 330 kwa tsh.500 tunafaidi sana?
Basi tunalipa izo higher bando lakini akikisheni mtandao wenu unakuwa vizuri basi,sio ela zetu mnapenda mtandao upo slowly."Haki sawa".
Mtandao unasoma,unapotea,mpo zenu mmekunja nne tu uko kama waziri wa fedha turekebishieni mtandao jamani.
Halafu mnataka tutoe comment kwa customer care,"tuambie kuhusu huduma uloipata" kwa bando izo nani apoteze mda kucomment, toeni tu ile option ni usumbufu!