Sir £mmanyo
Member
- Dec 25, 2012
- 23
- 9
Habari wana Jamii forum wenzangu.
Msaada tafadhali haja kubwa kuwa na halufu Kali (mbaya)ni hali ya kawaida au tatizo, msaada tafadhali mwenye uelewa na hili. Ahsante