Halufu kali ya choo

Halufu kali ya choo

Sir £mmanyo

Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
23
Reaction score
9
Habari wana Jamii forum wenzangu.
Msaada tafadhali haja kubwa kuwa na halufu Kali (mbaya)ni hali ya kawaida au tatizo, msaada tafadhali mwenye uelewa na hili. Ahsante
 
Habari wana Jamii forum wenzangu.
Msaada tafadhali haja kubwa kuwa na halufu Kali (mbaya)ni hali ya kawaida au tatizo, msaada tafadhali mwenye uelewa na hili. Ahsante
Unakula chaula chenye spice nyingi sana,ndio maana choo kinatoa harufu kali.
 
Habari wana Jamii forum wenzangu.
Msaada tafadhali haja kubwa kuwa na halufu Kali (mbaya)ni hali ya kawaida au tatizo, msaada tafadhali mwenye uelewa na hili. Ahsante
Kiswahili chenyewe hujui utaachaje kunuka?
 
Kweli ni kali hata huu uzi bila mask ya pua (kiziba pua) huwezi ku-koment chochote.
 
Sasa kama unakula mahindi ya kuchoma na karanga mbichi za kuchemsha kwa maganda yake unaenda kula tikiti unameza na mbegu zake wee unafikiri kitakachotoka hapo ni nini
 
Back
Top Bottom