Sir £mmanyo
Member
- Dec 25, 2012
- 23
- 9
Unakula chaula chenye spice nyingi sana,ndio maana choo kinatoa harufu kali.Habari wana Jamii forum wenzangu.
Msaada tafadhali haja kubwa kuwa na halufu Kali (mbaya)ni hali ya kawaida au tatizo, msaada tafadhali mwenye uelewa na hili. Ahsante
Kiswahili chenyewe hujui utaachaje kunuka?Habari wana Jamii forum wenzangu.
Msaada tafadhali haja kubwa kuwa na halufu Kali (mbaya)ni hali ya kawaida au tatizo, msaada tafadhali mwenye uelewa na hili. Ahsante
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli ni kali hata huu uzi bila mask ya pua (kiziba pua) huwezi ku-koment chochote.