Naweza kuamini, Oktoba saba chanzo chake ni Israel yenyewe ilitumia mapandikizi ndani ya Hamas kufanya mauji yale ili waichukue Gaza. Miaka nenda rudi wanaitaka Gaza, lakini wataingiaje sasa!Aliyewapa plan ya kufanya mauaji ya Oct 07,2023 aliwadanganya sana na kwa ujinga wao walimwamini wakiamini Israel itakaa kimya!,
Ok; Israel wakatumia mapandikizi ndani ya Hamas kufanya mashambulizi ya Oktoba 7 then soon thereafter mapandikizi ya Israel yakiongozwa na Ayatollah yakaipongeza Hamas kwa shambulizi like;Naweza kuamini, Oktoba saba chanzo chake ni Israel yenyewe ilitumia mapandikizi ndani ya Hamas kufanya mauji yale ili waichukue Gaza. Miaka nenda rudi wanaitaka Gaza, lakini wataingiaje sasa!
Tumia akili yako vizuri Israel iliondoa wanajeshi wake Gaza Sept 22,2005 na kuwakabidhi wapalestina leo wewe unakuja na maneno ya kusema “Miaka nenda rudi Israel wanaitaka Gaza” hivi akili yako iko Sawa Sawa? Acheni ujinga kwa kukaririshwa maneno!!Naweza kuamini, Oktoba saba chanzo chake ni Israel yenyewe ilitumia mapandikizi ndani ya Hamas kufanya mauji yale ili waichukue Gaza. Miaka nenda rudi wanaitaka Gaza, lakini wataingiaje sasa!
Waambie labda wewe wata kuelewa!!Ok; Israel wakatumia mapandikizi ndani ya Hamas kufanya mashambulizi ya Oktoba 7 then soon thereafter mapandikizi ya Israel yakiongozwa na Ayatollah yakaipongeza Hamas kwa shambulizi like;
Mapandikizi ya Israel ndani ya Hezbollah yakaipongeza Hamas; mapandikizi ya Israel ndani ya Houthi yakaisifu Hamas!
Seems mnawaza kwa vinyeo badala ya kutumia brains.
MUNGU awasaidieWanavuruga wenyewe sisi tuwafanyeje sasa?
Ndo maana nimekwambia tuwaombee wao hawaruhusu maana wao wako chini ya hamasiWakati wanaruhusu nyumba zao za ibada kutumika kigaidi walijua kitakacho fuata
Ok; Israel wakatumia mapandikizi ndani ya Hamas kufanya mashambulizi ya Oktoba 7 then soon thereafter mapandikizi ya Israel yakiongozwa na Ayatollah yakaipongeza Hamas kwa shambulizi like;
Mapandikizi ya Israel ndani ya Hezbollah yakaipongeza Hamas; mapandikizi ya Israel ndani ya Houthi yakaisifu Hamas!
Seems mnawaza kwa vinyeo badala ya kutumia brains.
Ok; Israel wakatumia mapandikizi ndani ya Hamas kufanya mashambulizi ya Oktoba 7 then soon thereafter mapandikizi ya Israel yakiongozwa na Ayatollah yakaipongeza Hamas kwa shambulizi like;
Mapandikizi ya Israel ndani ya Hezbollah yakaipongeza Hamas; mapandikizi ya Israel ndani ya Houthi yakaisifu Hamas!
Seems mnawaza kwa vinyeo badala ya kutumia brains.
Inawezekana nafikiri kwa kina na kutazama mambo kwa jicho la tatu ndio maama hauwezi kunielewa na kuniona mjinga. Kile kisemachwo duniani, siyo kile kitendekacho.Tumia akili yako vizuri Israel iliondoa wanajeshi wake Gaza Sept 22,2005 na kuwakabidhi wapalestina leo wewe unakuja na maneno ya kusema “Miaka nenda rudi Israel wanaitaka Gaza” hivi akili yako iko Sawa Sawa? Acheni ujinga kwa kukaririshwa maneno!!
Umeelezea vizuri sana lakini huku weka mezani INTENTION ya Hamas kwa Israel najua kama ungeweka na hilo ungeelewa je Oct 07,2023 ilikuwa ni conspiracy au la. Kama kweli unafatilia sałata hili kwa jicho la tatu utaelewa kinachoendelea. Kwa akili tu ya kawaida unaamini magaidi wa Hamas wanaweza kutaka kuingia vitani uso kwa uso na IDF bila kupata msaada wowote kutoka vikundi vingine au nchi nyingine? Lazima kuna nchi iliwapa kichwa pamoja na silaha na bila kupepesa macho ni Iran na Proxy wake Houth,Hezbollah na makundi mengine yaliyokuwa huko Syria na Iraq waliamini kuwa wakilianzisha kwa pamoja Jeshi la Israel haliwezi kupigana na seven-Fronts kwa maana ya kupigana na Hamas,Hezbollah,Houth,vikundi vilivyokuwa Syria na Iraq na magaidi walioko West-Bank. Mpango wa Houth kuzuia meli kupita Red-Sea ni planned ulikuwa umepangwa mapema sana wakitegemea unaweza kuidhoofisha Israel isiwashughulikie vilivyo Hamas. Inawezekana lakini binafsi siamini Saula la Mapandikizi. Ukija upadnę wa Hamas wao sera yao iko wazi kabisa hawaitambui Israel nią yao ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia vikundi vyote vya kigaidi wakiongozwa na Bwana wao Iran wanaamini hivyo wakitegemea sana Mnyazimungu wao na ndiyo maana hata wanapoua watu wanamtaja sana huyo mnyazimungu!! Kwa bahati mbaya sana pamoja na mipango yao yote wanaangukia pua tu.Inawezekana nafikiri kwa kina na kutazama mambo kwa jicho la tatu ndio maama hauwezi kunielewa na kuniona mjinga. Kile kisemachwo duniani, siyo kile kitendekacho.
Yote yanawezekana. Hii dunia ina mambo. BBC walishachambua kuhusu Hamas kama tetesi lakini, kwamba, Israel ndiyo ilianzisha Hamas kwa ajili ya kuwapinga PLO chama cha Yasser Arafati ambacho ndio kilikuwa tishio kwa Israel miaka hiyo. Hamas wakawa wapinzani wa PLO huku wakitawala Gaza. Baadae Hamas wakaanza kuwageuka Israel. Ni jambo la kawaida mana kwenye wengi hawakosekani wapinzani.
Tukija kwenye suala la Oktoba, kwenye ule mpaka wa Gaza na Israel, kuna ukuta na ulinzi ni mkali sana. Kuna wanajeshi wa kike wanakaa juu ya vile vijumba vya ulinzi na kazi yao ni kuangalia nyendo za Wapalestina saa 24 kwa zamu bila kuangalia upande wowote. Hivyo, kama kunakuwa na tishio lolote huripoti sehemu husika.
Swali, ilikuwaje askari wa Hamasi wakawa wanajipanga na mpaka wakavamia mpakani na kuvuka bila hatua kuchukuliwa?
Huko nyuma, Israel alishawahi kuimiliki Gaza na baadae akaiachia. Lakini inaonekana mpango wake baadae akaitamani na kuitaka tena Gaza. Sasa, atapata vipi sababu za kuichukua, ndipo inawezekana akawatumia mapandikizi wake ndani ya Hamasi kuivamia Israel katika tamasha lile na kuachilia ulinzi mpakani ili apate sababu. Sasa, Hamas ni adui wa Israel, hivyo inawezekana wanachama wa Hamas wakaingizwa mkenge na mapandikizi bila wao kujua mpango upoje.
Katikati ya vita, Israel akaanza kusema anataka kujenga barabara ya kupita katikati ya Gaza ili kuitenganisha Gaza.
Baadae Trump anasema Wapalestina wahamishwe Gaza kwa kigezo cha usalama wa Israel. Na kweli watahamishwa hata kama siyo leo kwa sababu inaonekana Israel na USA wanaitaka Gaza kwa sababu zao ikiwemo Pwani nzuri, gas na mafuta.
Hivi kama kusingetokea mauji ya Oktoba, mana yake kusingetokea vita na Gaza ingeendelea kustawi, je, Israel na USA wangepata vipi sababu ya kuanzisha vita na kuiharibu Gaza na kutaka kuwahamisha Wapalestina?
Ikumbukwe, kabla ya Oktoba, hali ilikuwa imetulia Gaza kwa Wapalestina na maisha yalikuwa yanaendele. Lakino leo hii, lawama zote ni kwa Hamas kwamba ndiyo walichokoza bila kuangalia upande wa Israel kuitaka Gaza kwa muda mrefu hali ambayo anaweza kutumia hata mbini haramu kama ike ya Oktoba kuruhusu uvamizi ili apate sababu. Asingeanzisha vita hivi, maana yake Gaza ingeendelea kustawi na kuleta ugumu wa kuichukua!
Toa na chanzo mkuu isiwe ni hisia pekeeNaweza kuamini, Oktoba saba chanzo chake ni Israel yenyewe ilitumia mapandikizi ndani ya Hamas kufanya mauji yale ili waichukue Gaza. Miaka nenda rudi wanaitaka Gaza, lakini wataingiaje sasa!