Ni Kweli Huu Ndio Mshahara Wao Na Ni Elimu Kwa Sisi WengineWamepata walichokistahili ni watu ambao hawana misimamo bali ni watu wanaopenda madaraka hao watu nadhani kuna chakujifunza hapa kwa waliyowakuta.
Huu ni mfano mzuri sana mambo ya kuhama hama yanatoka wapi watu wasimamie misimamo yao kama wameshindwa wastaafu tujue moja.Ni Kweli Huu Ndio Mshahara Wao Na Ni Elimu Kwa Sisi Wengine
Ama Kweli Wajumbe Ni HatariLabda mwenye Chama awarudisheee...!! Ila wajumbe aisee wanataka pesaaa alafu ukiwapaa wanakupiga za usoo piaa
Wanaitwa ndani ya chama ni wahamiaji haramuChezea Wajumbe wewe!! wanafyeka bila kujua uliahidiwa tam tam.... daaaaadeeeki
Hatariii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ama Kweli Wajumbe Ni Hatari
Hivi Kuna Wana CCM walojitokeza jimboni kwake?Mie namuwaza yule aliyesababisha mrembo Akwilina akauawa, kisha akasababisha wenzie waliompa Ubunge kufungwa na kutozwa mamilioni ya shilingi. laana iwe nae daima
ukweli wanastahili Kupewa PoleKushindwa kura za maoni haimaanishi hukununuliwa.
Ulinunuliwa na viongozi wa juu ila kura zinapigwa na wajumbe wengi walidhani watapitishwa na viongozi waliowanunua